
Dhambi za Siri kwa Viongozi wa Kikristo
KES 250
Categories: Study Guides, African Non-Fiction, Children's & Teens
Dhambi za Siri kwa Viongozi wa Kikristo: Mungu Anaona Kila Kitu - John Kipkirui Ruto
Je, kuna dhambi umeificha ukidhani Mungu haioni?
Kitabu hiki kitakuchoma na kukuponya. Si udaku, ni ukweli wa Biblia.
Ndani:
MUNGU ANAONA - Ebr 4:13, Yer 16:17. Daudi (2 Sam 11) na Akani (Yos 7). ITAFICHULIWA - Luka 12:2-3, Hes 32:23 "dhambi yenu itawapata". Gehazi (2 Fal 5) na Anania (Mdo 5). KIWANGO CHA JUU - Yak 3:1, 1 Tim 3:2. Sauli na Sulemani walipoteza ufalme, Danieli (Dan 6:4) hakuwa na kosa! NJIA YA KUTUBU - Mith 28:13, 1 Yoh 1:9, Zab 51:10, Ufu 22:12 "Naja upesi!" - Daudi (Zab 51), Petro (Yoh 21), Zakayo (Luk 19).
Kwa wachungaji na viongozi wanaotaka kutembea nuruni (1 Yoh 1:7) na kuwa tayari Yesu arudi (Math 24:44). Si hukumu, ni upendo - 2 Pet 3:9.
Ndani: Hatua 5 za kutubu, maswali 7, Maombi ya Toba.