
Patrick Wambua
Author on eSomeni · 0 books · 0 followers
Patrick Wambua ni mwandishi chipukizi wa Kiswahili kutoka Kenya. Alisomea Elimu (Sayansi) Egerton, kisha maisha yakampeleka mtaani: upishi, mikate na kilimo. Huko alikusanya hadithi za vijana na jamii. Ameandika riwaya Mwamko na NIMERUDI, na diwani Siku Sitini Za Dhati. Anaandika ili vijana wajione ndani ya vitabu na waamke. Ndoto yake: kujenga maktaba kubwa ya fasihi ya Kiswahili Afrika Mashariki.